Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam


Apartment house for Rent
Location Ubungo Kibo Dakika 15 Kutembea mpaka Kituoni Barabarani Morogoro Road Boda ni 1000
Kodi 500000×6 Kwa Mwezi Dalali Mwezi 1 Service Charge 20 Kuona Nyumba
Sifa zake
==========
Room 2 za Kulala Moja ni Master Bedroom Kubwa sana pia Ina Balcony ya Kupumzikia
Public toilet ndani
Kitchen with Cabinet
Luku yake
Maji Dawasa ndani
Parking space fancy
Pavin Block
Slide window
Tiles
Gypsum
Garden nzuri
Apartment zipo 2 tuu Moja ndio ipo wazi
Good environment
Piga sim Kwa Maelezo zaidi
0712500602
0755336565