Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam
Apartment Classic For Rent
Location: UBUNGO RIVERSIDE
Distance: Dakika 10-15 Kwa Kutembea Tu 🚶🚶
Usafiri 24Hours Bajaji 500, Boda 1000
KODI 350,000 × 6
>Sebule Kubwa Sana
>Vyumba VIWILI Vikubwa Vya Kulala
>Jiko Kubwa Zuri
>Store Kubwa
>Public Toilet Nzuri Ipo Ndani 🚻
>Inajitegemea UMEME Na MAJI
>Maji Yanaflow Jikoni Na Chooni 24HRS
>Reserve TANK
>Fenced
>Full Paving Blocks 🚫
>Parking Space Available 🚘
>Good Environment 👍
Inapigwa rangi yote
Service Charge 15,000
#Malipo Ya Dalali Kodi Ya Mwezi Mmoja
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347