Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







Apartment house for Rent Mpyaa ya Kisasa nzuri
Location Ubungo External Maji Chumvi Road Usafiri ni Bajaji na Daladala
Kodi 400000×6 Kwa Mwezi Dalali Mwezi 1 Service Charge 20 Kuona Nyumba
Sifa zake
======≠===
Room 2 za Kulala Moja ni Master Bedroom
Sitting Room
Open Kitchen with Cabinet
Public toilet ndani
Luku yake
Maji Dawasa ndani mita yake
Parking space fancy
Slide window
Tiles
Gypsum
Good environment
Piga sim Kwa Maelezo zaidi
0712500602
0755336565