Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







๐ APARTMENT Classic For Rent โจ๏ธ
Ipo Hatua Za Mwisho Kukamilika
Location: UBUNGO RIVERSIDE
Distance: 7 Minutes By Foot ๐ถ๐ถ
Price: 450,000 ร 6
โ
๏ธSebule Kubwa
โ
๏ธVyumba VIWILI Vikubwa Vya Kulala
โ
๏ธJiko Kubwa Zuri
โ
๏ธPublic Toilet Inside ๐ป
-Inajitegemea UMEME na MAJI
-MAJI Yanaflow Ndani 24HRS
-Reserve TANK
-Ndani ya Fensi
-Parking Kubwa Sana ๐
-Good Environment ๐
Service Charge 15,000
1 Month Agent Commission
Contact Us: ๐ฌ688 067 289 ๐
0714 418 005 WhatsApp