Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam


#Repost dalali_makini_ubungo_riverside
——
#Repost dalali_makini_ubungo_riverside
——
Apartment house for Rent za Kisasa nzuri
Location Ubungo Riverside Dakika 3 Kutembea mpaka Kituoni Barabarani Mandela Road
Kodi 450000×6 Kwa Mwezi Dalali Mwezi 1 Service Charge 20 Kuona Nyumba na Hela ya Tahadhari Mwezi 1 𝘂𝗸𝗶𝗹𝗶𝗽𝗶𝗮 Nyumba (Caution Money 💰)
Sifa za Nyumba
===============
Room 2 Moja ni Master Bedroom
Jiko Kubwa lipo Kwa Pembeni
Choo ndani Kizuri Master Bedroom
Public toilet Ipo Kwa Pembeni nje
Luku yake
Maji Dawasa ndani
Parking space fancy
Pavin Block
Slide window
Tiles
Gypsum
Good environment
NB: Hapa Mpangaji Anahama Tarehe 15 Mwezi wa 7
Nyumba hii ipo Karibu sana na Barabara
Piga sim Kwa Maelezo zaidi
0712500602
0755336565