Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







KODI NI 400,000 ร 4/ 5/6
NI APARTMENT NZURI MPYA KABISAA INAPANGISHWA
.
IPO UBUNGO MAKOKA KUTOKEA KIMARA KOROGWE KITUO CHA MWENDOKAS AU KUTOKEA UBUNGO RIVA SIDE KOTE UNAFIKA NYUMBAN
SEBULE KUBWA
DINNING ROOM
VYUMBA VIWILI VYA KULALA
CHUMBA KIMOJA MASTER
JIKO ZURI KUBWA LENYE MAKABATI YA KISASA NA PUBLIC TOILET NZUR KWA FAMILIA YAKO
APARTMENT INAJITEGEMEA UMEME LUKU YAKE NA MAJI YAKE DAWASA YANAFLOW NDANI 24HRS
INA TIRES, GYPSUM ALUMINIUM SAFI KAMA UNAVYOONA MWENYEWE APO
HII APARTMENT AINA PARKING YA GARI NDUGU MTEJA WANGU
CONTACT US
0688 067 289 ๐
0714 418 005 WhatsApp