Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam


NI APARTMENT NZURI INAPANGISHWA
LOCATION: UBUNGO MAKOKA KWA MKUA KUTOKEA KIMARA KOROGWE KITUO CHA MWENDOKAS AU KUTOKEA UBUNGO EXSTENO KOTE UNAFIKA NYUMBAN
KODI NI 300,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI 5, 6
SIFA ZAKE
=========
INA VYUMBA VIWILI VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER KUBWA SEBULE KUBWA JIKO ZURI KUBWA NA PUBLIC TOILET NZURI KWA FAMILIA YAKO
APARTMENT ZIPO NDAN YA FENS PARKING SPACE KUBWA LUKU YAKE NA MAJI DAWASA YANAFLOW NDANI
USAFIRI UPO WA UAKIKA BAJAJI 500
SERVICHAJ ELFU 15
CONTACT
0742260844
0657384670