Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam
APARTMENT YA KISASA INAPANGISHWA
LOCATION:
UBUNGO MAKOKA
UMBALI KUTOKA STEND RIVER SIDE KILOMETA 2
SIFA ZAKE:
VYUMBA 2 VYA KULALA
KIMOJA MASTER
SEBULE
JIKO ZURI
PUBLIC TOILET
IPO NDANI YA FENCE
PACKING SPACE
UWANJANI PAVING BLOCK
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI
KODI 350,000 X 6
KUONA ELFU 15
MALIPO YA DALALI KODI YA MWEZI MMOJA
PIGA CM# 0674860193