Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam
Apartment house for Rent za Kisasa nzuri
Location Ubungo Riverside Dakika 15 Kutembea mpaka Kituoni
Kodi 400000×6 Kwa Mwezi Dalali Mwezi 1 Service Charge 20 Kuona Nyumba
Sifa za Nyumba
=========≠≠===
Room 2 za Kulala hakuna Master Bedroom
Sitting Room
Jiko
Luku yake
Maji Dawasa ndani mita yake
Parking space fancy
Pavin Block
Apartment zipo 3 Moja ndio itakua wazi Tarehe 27 Mwezi 12 Kuona Nyumba na malipo inaruhusiwa MPANGAJI AKIWEPO
Slide window
Tiles
Gypsum.
Good environment
Kwa maelezo zaidi piga :---
#0785889413
Mr.