Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







:
๐ผ๐ฅ๐๐ง๐ฉ๐ข๐๐ฃ๐ฉ ๐๐ฏ๐ช๐ง๐ ๐ฎ๐ ๐๐ช๐ฅ๐๐ฃ๐๐ #Mpyaa
#๐๐ค๐๐๐ฉ๐๐ค๐ฃ: UBUNGO RIVERSIDE
Umbali wa Kutembea Kwa Miguu Dakika 10 Kutoka Kituoni Barabara Nzuri Mpaka Getini
#๐๐๐๐_๐๐๐ ๐
============
โข Sebule Kubwa
โข Vyumba VIWILI vya KULALA Kimoja Wapo Master
โข Jiko Kubwa la Kisasa
โข Choo Kizuri Ndani Cha Familia
โข Full AC
โข Heater
โข Stoo
Apartment zipo 4 ndani ya Fensi Parking ipo na kila Apartment Umeme LUKU Inajitegemea na Maji DAWASA yanaflow ndani.
#๐๐ค๐๐_๐ ๐ฌ๐_๐๐ฌ๐๐ฏ๐ ๐ฃ๐ Tsh. 700,000/- Malipo Miezi 6
#๐ผ๐ฃ๐๐๐ก๐๐ฏ๐ค
Survey Charge ni 20,000 tu Utaonyeshwa Nyumba zote unazohitaji Zilizopo na Malipo ya Dalali ni Mwezi Mmoja Pindi Ulipiapo Nyumba.
#๐ฟ๐๐ก๐๐ก๐_๐๐๐ช๐ฃ๐๐ค
0716 776247 WhatsApp & Call
0754 221168 WhatsApp & Call