Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







Apartment Classic For Rent ✨️
Zipo 3 Kwenye Fence
Location: UBUNGO EXTERNAL GARAGE
Distance: Umbali wa Kutembea Kwa Mguu Dakika 7 kutoka Main Road Barabara ni Nzuri Mpaka Getini
✔️Sebule Kubwa
✔️Vyumba VIWILI Vikubwa
✔️Kitchen With Cabinets
✔️Public Toilet Nzuri Ipo Ndani 🚻
✔️Reserve Tank (DAWASA)
✔️Inajitegemea UMEME Na MAJI
✔️Yanaflow Jikoni Na Chooni 24HRS
✔️Reserve TANK
✔️Parking Space 🚘
✔️Good Environment 👍
KODI 350,000 × 4
Service Charge 15,000
1 Month Agent Commission
For More Informations
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp