Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam
Apartment Classic For Rent
Location: UBUNGO RIVERSIDE
Au Unaweza Kupitia UBUNGO EXTERNAL
KODI 350,000 × 6
Sebule Kubwa
Vyumba VIWILI Vikubwa Vya Kulala
Jiko Kubwa la Kisasa
Public Toilet Nzuri Ipo Ndani 🚻
LUKU independent
Maji Yanaflow Jikoni Na Chooni 24HRS
Tires,Gypsum Na Slide Windows
Fenced
Parking Space Kubwa 🚗
Good Environment 👍
NAIFAULISHA NDUGU MTEJA
Service Charge 15,000/=
#Malipo Ya Dalali Peter Kodi Ya Mwezi Mmoja
For More Informations
0688 067 289
0714 418 005 WhatsApp