Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam






Apartment house for Rent za Kisasa nzuri
.
Location Ubungo Riverside Kibangu
.
Kodi 400000×6 Kwa Mwezi
.
Dalali Mwezi 1
.
Service Charge 20 Kuona Nyumba
Sifa za Nyumba
===============
Room 2 Moja ni Master Bedroom
Sitting room
Kitchen with Cabinet
Public toilet ndani
Luku yake
Maji Dawasa ndani
Parking space fancy
Pavin Block
Slide window
Tiles
Gypsum
Apartment zipo 2 tuu Moja ndio ipo wazi
Good environment
Nyumba hii itakua wazi Tarehe 30 Mwezi huu Kuona Nyumba Inaruhusiwa MPANGAJI ATAKUWEPO
Contact
(call/whatsapp)=0677370515