Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







××
APARTMENT MPYAA INAPANGISHWA
SIFA ZAKE:
✓ 2 BEDROOMS, 1 MASTER
✓ SITTING ROOM
✓ JIKO (OPEN KITCHEN)
✓ PUBLIC WASHROOM
✓ UMEME NA MAJI KIVYAKE
✓ FENCED
✓ PARKING SPACE KUBWA
LOCATION:
UBUNGO KONA, DAKIKA 7 TOKA MORO ROAD
KODI:
400,000/=TSH × 6
SERVICE CHARGES:
15K KUIONA AU 400K UKIILIPIA
NOTE:
FINISHING YA KINYAMA SANA ITAPIGWA NDANI NA NJE, FULL MAKABATI JIKONI
MAELEZO ZAIDI: PIGA SIMU
.