Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







:
๐ผ๐ฅ๐๐ง๐ฉ๐ข๐๐ฃ๐ฉ ๐๐ฏ๐ช๐ง๐ ๐ฎ๐ ๐๐ช๐ฅ๐๐ฃ๐๐
#๐๐ค๐๐๐ฉ๐๐ค๐ฃ: UBUNGO MAKOKA KWA MKUWA NJIA YA MAJI CHUMVI/ EXTERNAL
Nyumba Ipo Upande Wa Kushoto Kutokea Ubungo Barabara ya Zege ya Kwenda Maji Chumvi - External. Usafiri Bajaj 500
Pia Zipo Daladala za Moja Kwa Moja Kariakoo
#๐๐๐๐_๐๐๐ ๐
============
โข Sebule kubwa
โข Vyumba VIWILI vya Kulala na Kimoja wapo Master
โข Public Toilet ya Wageni
โข Jiko Zuri
โข Stoo
Apartment Hazipo ndani ya Fensi ila Parking ipo na ULINZI Usalama upo, Umeme LUKU Inajitegemea na Maji DAWASA yanaflow ndani.
#๐๐ค๐๐_๐ ๐ฌ๐_๐๐ฌ๐๐ฏ๐_๐ฃ๐ Tsh. 400,000/- Malipo Miezi 6
#๐ผ๐ฃ๐๐๐ก๐๐ฏ๐ค
Survey Charge ni 20,000 tu Utaonyeshwa Nyumba zote unazohitaji Zilizopo na Malipo ya Dalali ni Mwezi Mmoja Pindi Ulipiapo Nyumba.
#๐ฟ๐๐ก๐๐ก๐_๐๐๐ช๐ฃ๐๐ค
0716 776247 WhatsApp
0754 221168 WhatsApp