Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







Apartment Classic For Rent
Zipo 3 Kwenye Fence
Price: 400,000 × 6
Location: UBUNGO RIVERSIDE
Umbali wa Kilomita 1.5 Kutoka Riverside, Boda 1000
✅️Sebule Kubwa
✅️Vyumba VIWILI vya Kulala na Kimoja Wapo ni Master
✅️Jiko Kubwa la Kisasa
✅️Public Toilet
✅️Reserve Tank (Dawasa)
✅️Parking Space Available 🚗
✅️Inajitegemea UMEME Na MAJI
✅️Maji Dawasa Yanaflow Ndani 24HRS
✅️Good Environment 👍
For More Informations
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp