Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







🇹🇿Apartment Classic For Rent
Zipo 3 Kwenye Eneo Moja
Location: UBUNGO EXTERNAL - MAJICHUMVI
Barabarani Kabisa Boss 👍
PRICE: 500,000 × 6
✍️Sebule Kubwa
✍️Vyumba VIWILI Vikubwa
✍️Chumba Kimoja Master
✍️Jiko Kubwa Zuri
✍️Public Toilet Inside 🚻
✍️Inajitegemea UMEME Na MAJI
✍️Yanaflow Jikoni Na Vyooni 24HRS
✍️Reserve TANK
✍️Usalama Kama LUGALO
✍️Good Environment 💥
Service Charge 20,000
1 Month Agent Commission
For More Informations
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp