Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







#APARTMENT NZURI ZIPO 3 MOJA KATI YA HIZO NDIYO INAPANGISHWA
#BEI 300,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI 6
LOCATION #KIMARA_KOROGWE_KILUNGULE KM 2.5 KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS
#USAFIRI BAJAJI 500 UKISHUKA DK 5 MPKA 7 TU KWA MIGUU UPO NYUMBAN
SIFA ZAKE
=========
#VYUMBA VIWILI VYA KULALA VIKUBWA
#KIMOJA MASTER KIKUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO ZURI KUBWA LENYE MAKABATI
#PUBLIC TOILET NZURI KWA FAMILIA YAKO
#TILLES
#GYPSUM
#ALUMINIUM
#NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA
#CHINI ZEGE SAFI
#MAZINGIRA MAZUR
#LUKU YAKE
#MAJI YAPO DAWASA YANAFLOW NDAN
#SERVICE_CHARGER_20,000 NA ITADUM MPKA UPATE NUMBA
#MALIPO YA DALALI AMBWENE UBUNGO NI KODI YA MWEZI MMOJA BAADA YA KUPENDA NYUMBA
#CONTACT
0679997610
0747997630
Msigwa