Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam


🇹🇿NEW Apartment Classic For Rent
Location: UBUNGO RIVERSIDE
Umbali Wa Kutembea Kwa Miguu Dakika 5 Kutoka Kwenye Lami
✍️Sebule Kubwa
✍️Vyumba VIWILI Vikubwa
✍️Chumba Kimoja Master
✍️Kitchen With Cabinets
✍️Public Toilet Inside 🚻
✍️Heater Ya Maji Moto
✍️Umeme Na Maji Independent
✍️Yanaflow Jikoni Na Vyooni 24HRS
✍️Reserve TANKS
✍️Fenced &Parking Space Available 🚘
✍️Full Paving Blocks 🚫
✍️Good Environment 💥
PRICE: 800,000 Malipo Miezi 8
GHARAMA YA MAJI, USAFI NA ULINZI Tsh.50K unaweza Kulipa Moja Kwa Moja Au Kulipa Kila Mwisho Wa Mwezi
Service Charge 20,000
1 Month Agent Commission
For More Informations
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp