Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam
NEW Apartment Classic For Rent
Zipo 2 Kwenye Fence
Location: UBUNGO MAKOKA KWA MKUWA
Distance: KM 2 Kutoka Morogoro Road Au MANDELA Road [ Ubungo External ]
Usafiri 24Hours Bajaji, Daladala 500
KODI 300,000 × 6
Sebule Kubwa
Vyumba VIWILI Vikubwa Vya Kulala
Chumba Kimoja Master
Jiko Kubwa Zuri
Public Toilet Nzuri 🚻
LUKU Independent
Maji Yanaflow Jikoni Na Vyooni 24HRS
Reserve TANK
Tires,Gypsum Na Slide Windows
Nyumba Ipo Kwenye Fence
Parking Space Available 🚗
Good Environment 👍
📌Nyumba Hizi Zitakuwa Tayari Kuingia 25/01/2025
📌Kuona Nyumba Na Kulipia RUKSA BOSS 💰✍️
Service Charge 15,000
#Malipo Ya Dalali Peter Kodi Ya Mwezi Mmoja
For More Informations
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp