Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam
๐ผ๐ฅ๐๐ง๐ฉ๐ข๐๐ฃ๐ฉ ๐๐ฏ๐ช๐ง๐ ๐ฎ๐ ๐๐ช๐ฅ๐๐ฃ๐๐ #MPYAAAA
#๐๐ค๐๐๐ฉ๐๐ค๐ฃ: UBUNGO MAKOKA STAND
Usafiri ni Bajaji za Riverside Nauli 700 Ukishuka Kwenye Bajaj Unaingia Ndani
โข Sebule Kubwa
โข Vyumba VIWILI na Kimoja Wapo ni Master Bedroom
โข Jiko Zuri Kubwa
โข Public Toilet
โข Heater za Maji
Apartment Zipo 2 ndani ya Fensi Parking ipo na Kila Apartment inajitegemea LUKU na Maji DAWASA yanaflow ndani.
KODI 400,000 ร 6
Service Charge 15,000/=
#Malipo Ya Dalali Peter Kodi Ya Mwezi Mmoja
For More Informations
0688 067 289 ๐
0714 418 005 WhatsApp