Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam


:
𝘼𝙥𝙖𝙧𝙩𝙢𝙚𝙣𝙩 𝙉𝙯𝙪𝙧𝙞 𝙮𝙖 𝙆𝙪𝙥𝙖𝙣𝙜𝙖 #Mpyaa
#𝙇𝙤𝙘𝙖𝙩𝙞𝙤𝙣: UBUNGO RIVERSIDE
Umbali wa Kutembea Kwa Miguu Dakika 5 Kutoka Kwenye Lami
#𝙎𝙞𝙛𝙖_𝙕𝙖𝙠𝙚
============
• Sebule Kubwa
• Vyumba VIWILI vya KULALA Kimoja Wapo Master
• Jiko Kubwa la Kisasa
• Choo Kizuri Ndani Cha Familia
• Heater
Apartment zipo ndani ya Fensi Parking ipo na kila Apartment Umeme LUKU Inajitegemea na Maji DAWASA yanaflow ndani.
#𝙆𝙤𝙙𝙞_𝙠𝙬𝙖_𝙈𝙬𝙚𝙯𝙞 𝙣𝙞 Tsh. 800,000/- Malipo Miezi 8
GHARAMA YA MAJI, USAFI NA ULINZI Tsh.50K unaweza Kulipa Moja kwa Moja au Kulipa Kila Mwisho wa Mwezi
#𝘼𝙣𝙜𝙖𝙡𝙞𝙯𝙤
Survey Charge ni 20,000 tu Utaonyeshwa Nyumba zote unazohitaji Zilizopo na Malipo ya Dalali ni Mwezi Mmoja Pindi Ulipiapo Nyumba.
##0655256419