Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam


APARTMENTS NZURI SANA INAPANGISHWA BEI 400,000X6 TUCHANGAMKE
LOCATION ๐ UBUNGO MAKOKA KWA MKUA KM 2.5 USAFIRI BAJAJI 500 DALADALA 500 UKISHUKA DK5
DALALI MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
SIFA ZAKE
____________
#VYUMBA 2 VYA KULALA
#FULL A/C NDANI
#SEBULE KUBWA YA KUJIACHIA
#JIKO KUBWA LA KISASA UNAKUJA NA NA MASOFURIA TU JIKO UTALIKUTA LA UMEME UMESHAWEKEWA
#PABLICK TOILET NDANI
#MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI
#UMEME LUKU YAKO
#NYUMBA IPO NDANI FENSI USALAMA KAMA UPO IKULU
NYUMBA KALI SANA SIO YA KUHURIZA MARA MBILI PIGA CM CHAPU
BILA KUSAHAU NDUGU MTEJA WANGU MTU ANATOKA TAREHE 11 MWEZI HUU KUONA NA KULIPIA RUKSA MPUNGUZE UJUAJI KWENYE HIII NYUMBA NA MADALALI EPUKENI NA CHENI NIKIKUTUMIA HIII PICHA BASI PIGA CM KAMA NILIVYO KUTUMIA PICHA
MTEJA AKIJA ARUKI FULL A/C NDANI UKIINGIA NDANI KAMA UPO DUBAI
CONTACT
0742260844
0657384670