Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







Apartment house for Rent
Location Ubungo Riverside Dakika 6 Kutembea mpaka Kituoni Barabarani Mandela Road
Kodi 350000ร6 Kwa Mwezi Dalali Mwezi 1 Service Charge 20 Kuona Nyumba
Sifa zake
===========
Room 2 za Kulala hakuna Master Bedroom
Sitting room
Jiko
Luku yake
Maji Dawasa ndani
Parking space fancy
Pavin Block
Tiles
Gypsum
Dirisha shata
Garden
Good environment
Piga sim Kwa Maelezo zaidi
0712500602
0755336565



















