Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam
WAI MAPEMA ๐โโ๏ธ๐โโ๏ธ
APARTMENT NZURI SANA INAPANGISHWA
๐ITAKUWA WAZI 30/01/2025
๐KUONA NYUMBA Na KULIPIA RUKSA BOSS ๐ฐโ๏ธ
KODI 300,000 ร 6
*SEBULE KUBWA
*VYUMBA VIWILI VIKUBWA VYA KULALA
*CHUMBA KIMOJA MASTER
*JIKO KUBWA ZURI
*PUBLIC TOILET IPO KWANJE
*TIRES,GYPSUM Na SLIDE WINDOWS
*LUKU YAKO
*MAJI METER YAKO
*DAWASA YANAFLOW NDANI 24HRS
*NDAN YA FENCE
*PARKING SPACE KUBWA ๐
*PAVING BLOCK SAFI
*MAZINGIRA MAZURI
LOCATION: UBUNGO MAKOKA KWA MKUWA
UMBALI WA KM 2 KUTOKA KITUO CHA MWENDOKASI KIMARA KOROGWE AU KUTOKEA UBUNGO EXTERNAL KOTE UNAFIKA NYUMBAN USAFIRI UPO WA UHAKIKA BAJAJI 500 NA UKISHUKA KWENYE BAJAJI DK 4 UPO NYUMBANI
SERVICE CHARGE 15,000
1 MONTH AGENT COMMISSION
For More Informations
0688 067 289
0714 418 005 WhatsApp