Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam
#Mpyaa 300k
Apartment Classic For Rent
Location: UBUNGO RIVERSIDE
Umbali wa Kutembea kwa Mguu Dakika 12 Main Road
✔️Sebule KUBWA
✔️Vyumba VIWILI vya Kulala
✔️Chumba Kimoja Master
✔️Jiko Zuri
✔️Choo Kizuri Ndani Cha Familia
Apartment zipo 5 Ndani ya Eneo Moja Hamna Fensi ila Parking ipo Usalama Upo na kila Apartment inajitegemea LUKU Umeme na Maji DAWASA yanaflow ndani.
KODI 300,000 × 6
Service Charge 15,000
#Malipo Ya Dalali Peter Kodi Ya Mwezi Mmoja
For More Informations
0688 067 289
0714 418 005 WhatsApp