Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Ukonga, Dar Es Salaam
:
๐ผ๐ฅ๐๐ง๐ฉ๐ข๐๐ฃ๐ฉ ๐๐ฏ๐ช๐ง๐ ๐ฎ๐ ๐๐ช๐ฅ๐๐ฃ๐๐
#๐๐ค๐๐๐ฉ๐๐ค๐ฃ: UKONGA STAKISAHARI
Umbali wa Kutembea Kwa Mguu Dakika 7 kutoka Kwenye Lami
๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐
============
โข Sebule kubwa
โข Vyumba VIWILI vya Kulala Kimoja Wapo Master
โข Jiko KUBWA
โข Public Toilet Nzuri
โข AC
Apartment zipo ndani ya Fensi Parking ipo na kila Apartment inajitegemea LUKU Umeme na Maji DAWASA yanaflow ndani.
#๐๐ค๐๐_๐ ๐ฌ๐_๐๐ฌ๐๐ฏ๐ ๐ฃ๐ Tsh. 350,000 Malipo Miezi 6
0677370515
#๐ผ๐ฃ๐๐๐ก๐๐ฏ๐ค
Survey Charge ni 10,000 tu Utaonyeshwa Nyumba zote unazohitaji Zilizopo na Malipo