Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Uwanjani, Songwe







KODI 300,000 X 4
APARTMENT YA KISASA INAPANGISHWA
LOCATION:
KWA MSUGURI
UMBALI KUTOKA STEND KILOMETA 2
SIFA ZAKE:
VYUMBA 2 VYA KULALA VYOTE MASTER
SEBULE KUBWA SANA
JIKO ZURI LENYEMAKABATI
PUBLIC TOILET NDANI
IPO NDANI YA FENCE
PACKING SPACE KUBWA
UWANJANI PAVING BLOCK
UMEME LUKU YAKE
MAJI YA BILI DAWASA
KODI 300,000 X 4