Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Uwanjani, Songwe
APARTMENT YA KISASA INAPANGISHWA
LOCATION:
KWA MSUGURI
UMBALI KUTOKA STEND DAKIKA 7 TU KWA MIGUU
SIFA ZAKE:
VYUMBA 2 VYA KULALA VIKUBWA
SEBULE KUBWA
SEHEMU YA JIKO NDANI
PIA JIKO LINGINE PEMBENI
PUBLIC TOILET KUBWA
UMEME LUKU YAKE
MAJI MITA YAKE
IPO NDANI YA FENCE
PACKING SPACE KUBWA
UWANJANI PAVING BLOCK
MAZINGIRA MAZURI SANA
KODI 250,000 X 3,4
KUONA ELFU 15
MALIPO YA DALALI KODI YA MWEZI MMOJA
PIGA CM# 0674860193