Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Uwanjani, Songwe







KIMBIA KAMA UPEPO ILA USIJIKWAEEE WAHI HARAKA PIGA SIMU AU TUMA MMTUU KAM UPO BUSY AU TUMA ELA WAHJ..0786889413
APARTMENT YA KISASA INAPANGISHWA
LOCATION:
KWA MSUGURI
UMBALI KUTOKA STEND KILOMETA 1.5
SIFA ZAKE:
VYUMBA 2 VYA KULALA VIKUBWA
KIMOJA MASTER
SEBULE KUBWA
JIKO KUBWA
PUBLIC TOILET NDANI
ZIPO MBILI TU NDANI YA FENCE
UWANJANI PAVING BLOCK
UMEME LUKU YAKE
MAJI YA BILI DAWASA WAPANGAJI 2 TU
KODI 250,000 X 4,5,6
#0785889413🔥🔥