Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Wazo, Dar Es Salaam


APARTMENT INAPANGISHWA
TEGETA WAZO KISANGA
ZIPO MBILI KWENYE FENCE MOJA
INA VYUMBA 2 VYA KULALA
CHUMBA KIMOJA SELF COUNTED
SITTING ROOM, KITCHEN, PUBLIC TOILET
BEI TSH 250,000/=
KODI MIEZI 4 KUANZIA
0712154044