Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Wazo, Dar Es Salaam







Apartments zinapangishwa, zipo Tegeta Wazo msigani
Vyumba viwili kimoja master, Sitting Room, Dining Room, Kitchen na Public Toilet.
Bei ni 300,000
kwa mwezi, Malipo ni miezi 6 na mwezi 1 malipo ya Dalali.
Gharama za kuona 20,000
Wasiliana nami kwa
0718 809 744
Karibuni sana