Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Wazo, Dar Es Salaam


——
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 300,000/= X 6
🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA SANA
# JIKO KUBWA SANA
# PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
BEI NI 300,000/= X 6
💫💫 APARTMENT HII IPO #MIVUMONI_MWISHO_NJIA_YA_MADALE AU UKITOKEA TEGETA UNAPITIA NJIA YA WAZO HILL HADI MIVUMONI MWISHO NA KUTOKA BARABARA KUU YA LAMI YA MIVUMONI HADI KWENYE NYUMBA NI DK 2 TUU UPO KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
💥NJI YA GARI NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
#SERVICER_CHARGER_15000
#DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747