Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inauzwa Goba, Dar Es Salaam


HOUSE FOR SALE;
LOCATION: GOBA SIMBA OIL
Kutoka lami mita 500
SQM: 600
Vyumba yenye muundo wa Apartment ambayo chini vyumba viwili na juu vyumba viwili chini kuna wapangaji ana lipa laki7 na juu pia ana lipa laki7
Kuna servant quota Ina chumba, na choo cha public.
PRICE: Million 395 negotiable
UMILIKI: Fully documents
Parking,✅️
Garden, ✅️
Kitchen, ✅️
Dining room, ✅️
Electric fence, ✅️
Air Conditioner, ✅️
Public toilet nje, ✅
Public toilet ndani ✅
Modern windows, ✅
Good neighbourhoods,
0746 433 854