Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inauzwa Kimara, Dar Es Salaam
🏠APARTMENT KALI SANA IPO KIMARA TEMBONI
💰BEI LAKI 450,000X6
APARTMENT KALI IPO KIMARA
TEMBONI UMBALI DK 6 SITA ZA MIGUU
SIFA ZA NYUMBA
VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTER
SEBULE KUBWA
JIKO SAFI
CHOO PUBLIC
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI IPO NDANI YA FENSI USALAMA WA KUTOSHA PARKING IPO KUBWA SANA BARABARA RAFIKI KWA MAGARI YOYOTE
SERVICES CHARGE ELFU 15,000
#0625606710