Kiwanja kinauzwa Bagamoyo, Mbeya




KIWANJA CHENYE HATI, SQM 2,000, TSHS.85 MILIONI BAGAMOYO MJINI.
Ni jirani na inapojengwa Bandari.
Kipo ndani ya Fensi safi,
Geti na kuna Kajumba kadogo ka Mlinzi.
Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara.
__________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
( Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548
___________mpg
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.