Kiwanja kinauzwa Bagamoyo, Mbeya


Kiwanja kipo Amani_Kerege barabara ya Bagamoyo.
Km 1.5 toka barabarani.
Kina ukubwa wa SQM 1165. Kina hati safi kabisa.
Kiwanja ni kizuri na kinafikika kwa urahisi.
Huduma ya Maji na Umeme zipo pembeni ya kiwanja.
Bei Tsh. 35,000,000. Mazungumzo yapo.
0679447338
0753454167