Kiwanja kinauzwa Bagamoyo, Mbeya
Kiwanja Kinauzwa Bagamoyo
Location: Kimarang'ombe
Kiwanja kimepimwa na ardhi
Matumizi makazi
_________________
Kiwanja kipo Kimarang'ombe block C
Ukubwa wa kiwanja sqm 535
Kiwanja namba 335
_________________
Huduma zote za kijamii zipo
Barabara inapitika nyakati zote
Umeme, maji yapo site ni kuvuta tu
__________________
Kiwanja ni kizuri sana, kipo juu akikai maji, kipo tambarare
Ardhi ya kichanga, kumejengeka sana na kunazidi kujengeka
Piga simu njoo ujionee mwenyewe ichi kiwanja ni kizuri mno
bei sawa na bure mabosi zangu.
_________________
Document zote zipo full, kiwanja bado akijapata hati miliki
ukinunua hati itatoka kwa jina lako boss, gharama za hati
miliki ni juu yako, nitakusaidia kupata hati miliki
________________
Service chaji elfu 20
Bei milioni 5 na laki 3
Site visit ni kila siku unapopata muda tu piga simu
utapelekwa site
Nipigie simu 0687627903
Whatsapp 06876267903