Kiwanja kinauzwa Bagamoyo, Mbeya
Kiwanja Kinauzwa Bagamoyo
Location: Kingani
_____
Kiwanja akijapimwa
Ukubwa wa kiwanja 70×60
_____
Kiwanja kipo tambarare ardhi ya kichanga
Kiwanja kipo karibu beach
_____
Huduma zote za kijamii zipo
Umeme, maji yapo site ni kuvuta tu
_____
Document Hati ya mauziano ya serikali za mitaa
_____
Service chaji elfu 20
Bei milioni 30
_____
Site visit ni kila siku unapopata muda tu piga simu utapelekwa site
_____
Nipigie simu 0687627903
Whatsapp. 0687627903
_____
Kiwanja hakina shida yoyote ile mwenyewe kaamua kujiuza mtu mali yake