Kiwanja kinauzwa Boma, Morogoro
KIWANJA/FOUNDATION KINAUZWA KISAKASAKA
#unguja #zanzibar
Umbali kutoka kiwanja kilipo mpaka Beach/Pwani Mita 300
Umbali kutoka kiwanja kilipo mpaka barabarani 2km
Boma la chumba kimoja (Master)
Foundation ya vyumba 3 (Master 1) Dining Room, Ukumbi, Jiko, Public Toilet
Nafasi ya fensi ipo
Ukubwa wa kiwanja Mita 30x23
Bei Tsh 22,00,000/= Milioni ishirini na mbili
NB:Picha za Beach/Pwani ambazo zipo pamoja na picha za kiwanja, zina lengo la kukuonyesha aina ya fukwe ilivyo na haina maana kuwa hiki kiwanja kipo baada ya Beach/Pwani. Nasisitiza; umbali wa kutoka kiwanja kilipo mpaka Beach/Pwani ni mita 300
What's App/Call 0653007438
#mtegemeachanduguhufamaskini
#kimfaachomtuchake
#sisiniwahadhizote