Kiwanja kinauzwa Bunju, Dar Es Salaam


*Kiwanja kinauzwa*
Location; Bunju Kiharaka.
Ukubwa Sqm 2,000
Umbali kutoka lami
Kilometer 3
Bei: milioni 100 Maongezi
Kiwanja kimepimwa hati bado.
Ndani kuna mabanda ya kuku makubwa mazuri sana.
Kuna ghorofa ndogo ya vyumba viwili vyote master.
Karibuni sana.
Call: 0652 502 988