Kiwanja kinauzwa Bunju, Dar Es Salaam


Kiwanja hiki tayari kimeshavutwa maji ya dawasco.
—
Kiwanja tunakiuza
—
Bei TSH MIL 9,800,000/= ( milioni tisa na laki nane tu)
__
Ukubwa wa kiwanja: kina SQM 400. Yaani mita 20 kwa 20 iliyokamilika
__
Location: kipo BUNJU A MJI MPYA. Hapa ni kilometer 4 tu toka bagamoyo road.
__
Tupigie simu : 0675-200 300 au 0789-100 100
.............................
vijana_realestate
Office: TEGETA AZANIA CHIEF HOUSE tumehamia ghorofa ya kwanza