Kiwanja kinauzwa Bunju, Dar Es Salaam


Nyumba nzuri inauzwa
Location: Bunju "A" Mianzini
Umbali kutoka lami ya bagamoyo road: mita 400
Ukubwa wa eneo: 700 SQM
Nyaraka zote muhimu zipo.
Hati itatoka kwa jina la mnunuzi.
Vyumba viwili ni master bedroom.
Chumba Kimoja cha kawaida
Public washroom moja
*sitting room
*dinning area
*in-house kitchen & outside kitchen.
*cctv cameras and electric wires on fence
Pia ina one storey backyard building with two
master bedrooms.
*garden
*ample parking space
Naongea na mmiliki
Price: million 240
Maongezi yapo
MC DALALI HUSSEIN MAPINGA
Call & WhatsApp
0769 318 773 or 0789 184 940