Kiwanja kinauzwa Bunju, Dar Es Salaam


KIWANJA KINAUZWA
___________
LOCATION: BUNJU KIHARAKA msongola
Km 2 kutoka Main Road.(Bagamoyo Road)
___________
KIWANJA: Kina M 32 X M 25.
Ndani ya Kiwanja kuna Boma la Vyumba Viwili
Kiwanja hakijapimwa ila Kina Hati ya Mauziano.
Kiwanja kipo Tambalale na Huduma za Kijamii zote zipo karibu.
___________
BEI: TSH MIL 55. Ila maongezi yapo.
#0758998074π
#0689138795whatsapp Uduma ya kuona kiwanja elfu 20