Kiwanja kinauzwa Bunju, Dar Es Salaam


KIWANJA KINAUZWA
BEI: TSH MIL 135. Ila maongezi yapo.
___________
LOCATION: Bunju B, Dar es salaam
___________
KIWANJA: Kina SQM 1200, Eneo Lina hati kamili ya Wizara
Kutoka Main Main Road ni Mita 700 mpka kwenye kiwanja
Kiwanja kina Fremu na kishapigwa Fensi
___________
Kwa Mawasiliano:-
Piga/WhatsApp : 0713 - 958 395
0687 - 800 788