Kiwanja kinauzwa Buswelu, Mwanza


Nyumba Inauzwa🏠
Ipo North Buswelu, Kiwanja namba 190, Kitalu A.
Kiwanja hakina mgogoro na Hati yake ipo.
Ujenzi ni wa maana kabisa, nyumba haijanyimwa cement.
Nyumba Ina:
✅Vyumba vitatu self
✅Sebule kubwa Mita 5 kwa 6
✅Dining
✅Kitchen
✅Choo na Bafu Public
Ukubwa wa kiwanja ni sqm 529.
Unakuwa Baba / Mama mwenye nyumba kwa Tsh Milioni 38.5 tu.
Mazungumzo yapo pia.
Tuwasiliane kuiona:
+255 652 601 864
#viwanjatz #Kiwanja #ilemela #mwanza #kandayaziwa #viwanjamwanza #LandInvestment #nyumba #ujenziwanyumbaboratz