Kiwanja kinauzwa Chanika, Dar Es Salaam
NYUMBA INAUZWA CHANIKA MWISHO MJINI MIL 38,500,000/=
0710013234
0754908045
UKUBWA WA ENEO SQM 400
NYUMBA INA VYUMBA 3 VYA KULALA CHUMBA MASTER BEDROOM DINNING ROOM PUBLIC TOILET JIKO NA SITTING ROOM
UMEME UPO MAJI YAPO NA HUDUMA ZOTE ZA KIJAMII ZINAPATIKANA JIRANI SANA.
UMBALI TOKA BARABARA KUU YA LAMI DK 5 TU KWA MIGUU
GHARAMA YA KWENDA KUANGALIA NYUMBA NI 20,000/=
WOTE MNAKARIBISHWA SANA BADO IPO WAHI MAPEMA TUFANYE BIASHARA.