Kiwanja kinauzwa Chanika, Dar Es Salaam


NYUMBA INAUZWA IPO CHANIKA MWISHO
UMBALI WA KILOMITA 1 HADI KWENYE NYUMBA
USAFIRI BODA 1000
BAJAJI 500
KUTEMBEA DAKKA 15 KWA MIGUU
NYUMBA MPYA
INA VYUMBA VYA KULALA VITATU KIMOJA MASTA
SEBLE DAININGI
JKO KUBWA
CHOO PABILIKI
INA FENSI YOTE HADI GETI TAYARI
BADO VITU
VIFOGO VIDOGO
KAMA TAYILIZI
NA UMEME
KUPELEKWA KUONA 25000
UKUBWA
WA ENEO SM 600
BEI YA KUUZA MILIONI 55
MAONGEZI YAPO SANA TU