Kiwanja kinauzwa Goba, Dar Es Salaam


Nyumba nzuri ya kisasa Inauzwa milioni 90 maongezi yapo 📍 Ipo GOBA MAGETI - Dar es salaam - Tanzania
▫Vyumba Vitatu vya Kulala
Master Bedroom
▫Sitting room
▫Dining room
◇ Kitchen
◇ Store
▫ Public toilet
▫Ukubwa wa kiwanja: sqmt 1000
◇document Sales agreement (Hati ya mauziano ya selikali za mitaa)
◇Kiwanja kimepimwa Hati miliki itatoka kwa Jina la mteja atakae nunua
◇ Nyumba ina servant cotta ya Vyumba viwili vya kulala vyote self contenad sittingroom na jiko na public toilet
◇ Maji Dawasco umeme vyote vipo
◇Umbali mita mita 800 tu kutoka goba road kwenda kukagua nyumba tunachaji sh 30000 sambamba na malipo ya % 5 ya
Dalali baada ya kuinunua. Nyumba. Piga sim
0784422099
0746218111
0715422099