Kiwanja kinauzwa Goba, Dar Es Salaam
Plot inauzwa ipo goba matosa jirani na goba njia nne(4)
- Plot size: 3,586 sqm
- Ina title deed
- Plot iko tambarare
- Umbali kutoka goba road mita 100 tu
-Umbali kutoka nia nne mita 400
- Bei TZS 290mil maongezi yapo kidogo
Mawasiliano
+255758787836.